Free Web Hosting by Netfirms
Web Hosting by Netfirms | Free Domain Names by Netfirms


Ukurasa wa mbele
Gazeti la injili
Nyimbo za Munishi
Soma barua Yahoo
Soma barua Hotmail
Tuma SMS duniani
Sema nami
Sikiliza waongo
Twende kanisani
Gazeti INJILI http://munishi.netfirms.com
E-mail: munishifaustin@yahoo.com
Or fmunishi@hotmail.com

Kweli hali yetu TZ ni ya kuaibisha


Kweli hali yetu ni ya kuaibisha na ni sisi wenyewe ndiyo tuliosababisha.

Lililopo sasa ni kujitahidi kutofumbia macho uozo wowote unaojitokeza.

Kichekesho kimoja kilichojitokeza wiki iliyopita ni pale watu wanne walipoamua kuandamana hadi Hoteli ya Sheraton, ambako wakuu hao wa nchi za mashariki na kusini mwa afrika walikuwa wakikutana na ujumbe wa Benki ya dunia.

Amini usiamini! Polisi wetu waliwakamata watu hao na kuwatia msukosuko na hatimae kuwaachia kwa dhamana. Wakati ambapo Rais baadae aliutangazia umma kuutambua uhuru wa waandamanaji hao kujieleza, na kwamba alitegemea suala la watu hao lingekuwa limekwisha, Polisi wetu hadi leo "Wamelishikia bango" suala hilo kwa kisingio cha "uchunguzi unendelea" "enewei" tuishie hapo kwa leo Nategemea michapo zaidi kutoka kwako

Sammi. sammituni@hotmail.com

 
| http://munishi.netfirms.com |
 
<<Back  |  Home |  Gazeti La Injili | Injili2 | Nyimbo Za Munishi | Next >>