Free Web Hosting by Netfirms
Web Hosting by Netfirms | Free Domain Names by Netfirms


Ukurasa wa mbele
Gazeti la injili
Nyimbo za Munishi
Soma barua Yahoo
Soma barua Hotmail
Tuma SMS duniani
Sema nami
Sikiliza waongo
Twende kanisani
Gazeti INJILI http://munishi.netfirms.com
E-mail: munishifaustin@yahoo.com
Or fmunishi@hotmail.com

Picha za Munishi

Munishi na mke wake, siku walipofunga pingu za maisha.Ilikuwa tarehe10-6-1989 mjini arusha TZ. Anayechukua picha ni Karanja Kimwere, mtayarishaji wa vipindi KBC.


1974 Munishi akiwa na Miaka 14


Munishi akiwa na mguu uliovunjika Mwaka 1974. Kulia ni shemeji Emmanuel Simel, Mmasai aliyemuoa dada yake mkubwa. Kushoto ni Asnat Emmanuel Simel.


Munishi akiwa na miaka19


Huyu ni Munishi mchoraji wa picha akiwa na vifaa vya kazi Mwaka 1979. Kulia ni mtalii kutoka Ujerumani aliyevutiwa na uchoraji.


1984 DODOMA.
Baada ya Munishi kuokoka 1980 huko Arusha, alijiunga na mwinjilisti Moses Kulola kihubiri injili Tanzania yote.Pichani kulia ni Emmanuel Mwasota, akifuatiwa na Rev.Kulola aliyeketi, na mwisho kushoto ni kijana ambaye Mungu alimteua kuikomboa Tanzania kutoka katika minyororo ya CCM


Munishi baada ya kuokoka. 1980 Arusha.


Munishi aanza kazi ya uinjilisti kwa nyimbo. 1983 Picha hii ilichapishwa mara nyingi kwenye gazeti la MFANYAKAZI.


1983 Hapo ndipo Munishi alipoonyeshwa maono kuiongoza Tanzania .Alionyeshwa makosa ya Nyerere na akaanza kumpinga.


Munishi akimlisha keki mke Prisca wake mara tu baada ya kufunga pingu za maisha 1989


Prisca akimlisha keki mama mkwe wake MAKOMBO huku baba mkwe wake A. MUNISHI akiangalia kwa makini


Prisca akimlisha keki baba mkwe wake huku baba yake mzazi EDWARD MBISE akiangalia


Munishi na mtoto wao wa kwanza Mojashi Munishi Mwaka 1991 Nairobi Kenya


Munishi na mtoto wao wa kwanza Mojashi Munishi Mwaka 1993 Nairobi Kenya


Munishi na Mke wake Prisca


Bwana na Bi Munishi wakifanya kile wanachokijua zaidi. Kumwimbia Mungu nyimbo za sifa


Munishi na watoto wao wawili Mojashi aliyesimama, na Salelo aliyebebwa. 1995 Nairobi Kenya


Mojashi 12, Mangi miezi 6, na salelo 7 ilikuwa mwaka 2000 Nyumbani kwao Ngong


Munishi mwaka 2000

Bonyeza Hapa kwa Picha zaidi

 
| http://munishi.netfirms.com |
 
<<Back  |  Home |  Gazeti La Injili | Injili2 | Nyimbo Za Munishi | Next >>